Watalii 12 wamefariki,30 pia wamejeruliwa kufuatia ajali iliyosababishwa na gari walilokuwa wakisafilia kutoka KATHMANDU kwenda GORAKHPUR nchini NEPAL.
chanzo cha habari kinasema kuwa ajali katika eneo la milima hiyo zimekuwa ni nyingi kufatia ubovu wa barabara.
polisi walisema gari liliacha njia na kupindukia mtoni kilometa kadhaa.
majeruhi hao wameperekwa katika hospitali tofauti tofauti nchini humo.
ikumbukwe pia November mwaka jana pia gari liliua tena nchini nepal na pia october pia gari liliacha njia na kuua watu takribani 29 na wengi wa waanga walikuwa wakisafili kwenda kukutana na ndugu zao.
AJALI YAUA TENA WATALII