MBUNGE WA ARUSHA MJINI GODBLESS LEMA AMEENDELEA KUWEKWA KUZUIZI BAADA YA MAHAKAMA YA KANDA MAALUMU YA ARUSHA KUDAI KUWA MAWAKILI WA MBUNGE HUYO WANGEOMBA KUKATA RUFAA KWA SIKU 10 KABLA YA TAREHE YA KUTAJWA KWA KESI.
HII SASA NI MARA YA TANO MBUNGE HUYO KUNYIMWA RUFAA TANGU AKAMATWE NOV 5 MWAKA HUU DODOMA
KWA MANENO YA UCHOCHEZI DIDHI YA RAIS MAGUFULI.
Mahakama
Kuu Kanda ya Arusha imemnyima dhamana Mbunge wa Arusha Mjini (CHADEMA)
Godbless Lema. Mahakama hiyo imeeleza kuwa mawakili wamtuhumiwa huyo
walipaswa kuonesha kusudio la kukata rufaa ndani ya siku10 kabla ya
kukata rufaa.
Hii ni mara ya
tano mbunge huyo anakosa dhamana mahakamani tangu alipokamatwa Novemba 3
mwaka huu akiwa mjini Dodoma na kusafirishwa hadi Arusha katika kesi ya
uchochezi inayomkabili.
Katika kesi ya
msingi lema anatuhumiwa kutoa maneno ya kichochezi dhidi ya Rais
Magufuli kwa madai kuwa Mungu ndiye aliyemwambia maneno hayo wakati
akiwa anaomba.
- See more at: http://www.masamablog.com/2016/12/mbunge-godbless-lema-anyimwa-dhamana.html#sthash.WFVGX1F7.dpuf