mh mizengo pinda
Waziri mkuu mh mizengo pinda ameunda kamati ya kuchunguza chanzio na
kiini pia kutafuta ufumbuzi wa tatizo lilioathiri leo sehemu ya uchumi
wa mtu na raia wao baada ya vyombo na wamiliki wake kugoma kufanya
safari zao,wakidai kutokutimiziwa malengo na mahitaji yao.
kama ya mikataba ya kudumu na kiwango kikubwa cha pesa.
ahadi
hizi zilitolewa mapema april 10 mwaka huu ambapo mpk sasa serikali
ahijatoa tamko lolote kama itatimiza matakwa ya madereva au la.