manyaki-1.jpg ...      ...

HABARI KUU ZILIZOANDIKWA KATIKA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI DEC 3,2016

HABARI KUU.
1.Ziara ya Rais magufuli katika gereza LA ukonga laondoka na kigogo.
Habari hii imeandikwa imechapishwa katika kurasa za magazeti ya citizen,mwanachi,habari Leo na majira.

2.Lema akwama kutoka mahabusu huko Arusha.
Habari hii imechapishwa na magazeti ya  Uhuru,tanzania daima,nipashe na mtanzania.
Habari hii imeelezwa kuwa mbunge Wa Arusha godbless Lema Jana alikwama kutoka nje baada ya mawakili wake kushindwa kuwa na vigezo vya kumtoa nje.

3.Mama salma kikwete aisoma namba,mtanzania daima limeandika

4.mkutano Wa club ya simba wapigwa stop, Nipashe,mwananchi,habari Leo,na jambo Leo limeandika.

5.Mkuu wa wilaya mdogo kuliko wote ampa ujumbe mzito mpenzi wake
Previous
Next Post »