BAADA YA JANA DR SLAA KUKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI NA KUTOA MENGI KUHUSIANA NA KUTOKUWA NA IMANI NA CHAMA CHAKE BAADA YA KUMPOKEA EDWARD LOWASA KUINGIA CHADEMA,LEO YASEMEKANA KATIBU MKUU HUYOWA CHADEMA AMEAMIA UGAIBUNI RASMI,TUTAENDELEA KUKULETEA PICHA ZAIDI NA MATUKIO MAZIMA.