Mwenyekiti wa Kikao cha kwanza siku ya leo katika Mkutano wa tano wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), ambaye pia ni Mjumbe wa Bodi ya Shirika hilo, Magret Ikongo akiongoza kikao hicho leo, kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
.
Mkurugenzi wa Matekelezo wa Mamlaka ya
Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii, (SSRA), Lightness
Mauki akitoa hoja kwenye Mkutano wa tano wa Wadau NSSF unaoendelea leo
kwa siku ya pili,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini
Arusha.Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori akimpatia maelekezo, MC wa Mkutano wa tano wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Sauda Simba wakati wa Mkutano huo unaonedelea leo, kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.