manyaki-1.jpg ...      ...

PICHA:DKT. SHEIN ALIFUNGUA RASMI KONGAMANO LA KIBIASHARA BAINA YA TANZANIA NA COMORO, ZANZIBAR LEO


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Waziri wa Mambo ya Nje wa Comoro Mhe,Mohamed Bacar Dossar (katikati) wakisimama pamoja na Viongozi wengine wakati Wimbo wa Taifa wa Tanzania na Comoro ukipigwa wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Biashara baina ya Comoro na Tanzania katika ukumbi wa Sea Cliff Mangapwani Wilaya ya Magharibi "A" Unguja leo.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe,Amina Salum Ali alipowasili kufungua Kongamano la Biashara baina ya tanzania na commoro mapema leo.
Previous
Next Post »