Habari katika kambi ya Lowasa wakishirikiana na Zitto wanamshawishi
ndugu Edward Lowasa kuhamia ACT na kundi lake na kugombea urais kupitia
chama hicho.
wanaamini kuwa anawafuasi wengi na akikosa mwaka huu hatopata nafasi
nyingine tena maiashani mwake kwa ushawishi alionao ndani ya jamii