manyaki-1.jpg ...      ...

Maria sarungi amshangaa TB Joshua juu ya kauli yake.

Maria sarungi ni Leo amejitokeza katika kurasa zake za mitandao ya kijamii na kushangaa kauli ya Mtabili TB Joshua kuwa amepata pongezi za kutosha toka kwa wananchi Wa marekani.
Tb Joshua alitabili kuwa Hillary Clinton ndiye mshindi lkn badae trump akachukua nchi.
Watu mbalimbali wamejitokeza na kumkosoa juu ya utabili wake.
Maria sarungi ameandika.
Huyu sialisema Hillary atashinda?
Previous
Next Post »