Mtangazaji machachari aliyejizolea umaarufu katika kipindi cha planet bongo miaka ile na badae mkasi,na ambaye anarusha kipindi cha ngazi kwa ngazi eatv,salama jabir Jana usiku saa nne usiku katika kipindi cha Friday nite live kinachorushwa na kituo cha eatv kilirusha picha na jina lake kuwa ameteuliwa kuwa host Wa tamasha hilo litalofikia kilele chake December 10.
Salama ikumbukwe ni mtangazaji mwenye mapepe mengi akiwa stegini na anuwezo Wa kumchana msanii makavu live,sasa hatujui hiyo siku atatumia njia gani kuweka watazamaji sawa.
Salama ikumbukwe ni mtangazaji mwenye mapepe mengi akiwa stegini na anuwezo Wa kumchana msanii makavu live,sasa hatujui hiyo siku atatumia njia gani kuweka watazamaji sawa.