Mediterranean migration yathibithisha kupokea taarifa ya kuzama kwa mashua katika bahari hiyo.
watu wasiopungua arobaini 40 wameripotiwa kufa kutokana na ajali ya kuzama kwa meli katika bahari ya Mediterranean sea wikend hii mapema.
taarifa toka eneo la tukio linasema zinahitajika meli zaidi zaidi ya tatu 3 ili kwenda kusaidia huokoaji wa waanga hao.
waziri wa serikali ya ulaya anatarajiwa kukutana Luxembourg ili kujadili swala hilo
waziri wa nje wa serikali ya umoja wa ulaya amesema kuwa wanakazi ya kiserikali na kimaadili hili kukomesha majanga yanayotokea katika bahari hiyo.
