manyaki-1.jpg ...      ...

Salama jabir host Wa tamasha LA East Africa Awards (EATVWARDS 2016)

Mtangazaji machachari aliyejizolea umaarufu katika kipindi cha planet bongo miaka ile na badae mkasi,na ambaye anarusha kipindi cha ngazi kwa ngazi eatv,salama jabir Jana usiku saa nne usiku katika kipindi cha Friday nite live kinachorushwa na kituo cha eatv kilirusha picha na jina lake kuwa ameteuliwa kuwa host Wa tamasha hilo  litalofikia kilele chake December 10.
Salama ikumbukwe ni mtangazaji mwenye mapepe mengi akiwa stegini na anuwezo Wa kumchana msanii makavu live,sasa hatujui hiyo siku atatumia njia gani kuweka watazamaji sawa.
Previous
Next Post »