Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza wakati wa uzinduzi wa
kikundi cha michezo cha Tegeta Jogging and sports club ambapo aliwaambia
vijana wajiandikishe kwenye daftari la kupiga kura kwanza na kuweka itikadi
za vyama pembeni, pia alitoa pongezi kwa Waziri wa Ardhi Nyumba na
Maendeleo na Makazi William Lukuvi kwa kazi nzuri ya kusimamia viwanja vya
wazi vilivyovamiwa hasa katika wilaya ya kindondoni virudi visaidie katika
kukuza michezo.*
*Kada wa CCM Gabriel Munasa akiwasalimia wana vikundi vya Jogging na
kuahidi kuvisaidia katika kila hali katika kufanikisha malengo yao.
CHINI.
NAPE AKIONGEA KATIKA UZINDUZI HUO NA VIJANA NA KUWAOMBA WAJIANDIKISHE KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.
CHINI NI VIJANA WAKIWA NA NAPE WAKIFANYA MAZOEZI KWA VITENDO.
CHINI.
NAPE AKIONGEA KATIKA UZINDUZI HUO NA VIJANA NA KUWAOMBA WAJIANDIKISHE KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.
CHINI NI VIJANA WAKIWA NA NAPE WAKIFANYA MAZOEZI KWA VITENDO.