Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza, amepuuzia wito uliotolewa na nchi
ya Marekani pamoja na umoja wa Ulaya juu ya wito uliotolewa kuhusu
uchaguzi uahirishwe.
Rais Nkurunziza amesemea kwamba kuahirishwa kwa uchaguzi kutaliingiza taifa hilo katika mgogoro mkubwa zaidi.
Amesema kuwa uchaguzi ungesitishwa endapo watu wote wangezungumza lugha hiyo ya kusitishwa kwa uchaguzi ,na hiyo itakuwa na maana kwamba kutakuwa na serikali ya mpito.