Waziri wa Fedha wa Zanzibar Omar Yussuf Mzee akionesha Mkoba wa Bajeti ya
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa Mwaka wa Fedha 2015/2016 leo katika
Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar. Waziri wa Fedha wa Zanzibar Omar Yussuf Mzee akisoma Hutuba ya Mapato na
Matumizi ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa Mwaka wa Fedha 2015/2016
leo katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni nje kidogo ya Mji wa
Zanzibar. Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakifuatilia Hotuba ya Waziri
wa Fedha wa Zanzibar Omar Yussuf Mzee aliyokuwa akiisoma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)