manyaki-1.jpg ...      ...

LOWASA KUCHUKUA FOMU LEO ALHAMISI JUNE 2015 DODOMA.

Mbunge wa Monduli ambaye aliwahi kuwa Waziri mkuu wa Tanzania Edward Lowassa amaeahirisha kuchukua fomu ya kugombea urais kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi hadi siku ya leo ambayo ni alhamisi.

Hadi sasa mwanasiasa  aliyefungua dimba la kuchukua fomu ya urais  ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu), Profesa Mark Mwandosya pamoja na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Stephen Wassira.
Previous
Next Post »