manyaki-1.jpg ...      ...

SHUGHULI MBALIMBALI ZA WAZIRI MKUU ARUSHA NA DODOMA.



Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa mbunge wa Ukonga Eugen Mwaiposa kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 3, 2015. Wengine pichani kutoka kushoto ni Kaimu kiongozi wa Upinzani Bungeni, Tundu Lisu, Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Seif Sefue na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Galawa.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif Rashid baada ya kuhudhuria sala na heshima za mwisho kwa aliyekuwa mbunge wa Ukonga, Egin Mwaiposa kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 3, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wakufunzi na watalaam wa mashine za kuandikisha wapiga kura za BVR wakati alipotembelea Kituo cha mafunzo ya BVR kwenye Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Juni 2, 2015.
Previous
Next Post »