manyaki-1.jpg ...      ...

dr slaa akimbia nchini

katibu mkuu wa chama cha democrasia na maendeleo CHADEMA Dr wilson braod slaa baada ya jana kukutana na waandishi wa habari na kutoa yake ya moyoni kuhusu chama chalke kumpokea lowasa na kumpa dhamana ya kugombea urais kada huyo aliye anika mabaya mengi ya wana siasa hao wakongwe na maaskofu kumjia juu  baada ya kusema wameongwa na lowasa pia na baadhi ya wanachama wa chadema,mwanasheria mkuu wa chadema katupilia mbali madai hayo na james mbatia,baada ya sekeseke hilo dr slaa amekimbila ugaibuni mapema leo.


Previous
Next Post »