manyaki-1.jpg ...      ...

Manyaki Information Computer Technology Center Yazindua Huduma za Kuwafikia wateja pale walipo Mwanza

Manyaki  Information Computer Technology Center  yenye makazi yake Bugando/Bugarika street Jijini Mwanza imeweka azma yake ya kuboresha muundo wa kuwahudumia wateja wake kwa kuzindua mfumo mpya kwa wateja wote ambao awawezi fika oficini kwao kwa kuwapa punguzo la bei kuanzia mwezi huu wa kumi(10) na kuendelea ,iwe mtu binafsi kampuni au shirika au taasisi kwa mteja kutoa maelezo yake na wao kumsaidia kwa njia ya mawasiliano ya simu pia kumfata pale halipo,mratibu wa shughuli hiyo amesema kuwa itakuwa ni huduma nzuri  kwani mteja hataweza kuacha shughuli zake na kuweza kufanya kazi zake nyingine kwa uhuru zaidi.
nche na mkoa wa mwanza wanampango pia wa kuwafikia wakazi wote wa kanda ya ziwa.

                 HILI BANGO LA MANYAKI INFORMATION COMPUTER TECHNOLOGY CENTER
Previous
Next Post »