Msanii King Kiba au alikiba juzi kati alijikuta akishushwa katika jukwaa alilokuwa anaperform chriss dady brown mombasa nchini kwa style ya kuzimiwa kipaza sauti,kitendo hicho kilimkera vilivyo Kiba na Baadhi ya mashabiki wake na kuoji kulikoni,mtoa habari wetu anasema kuwa Kipindi kiba anaperfom mmoja wa meneja wa Diamond Platinum wa show za Nje salam alikuwa backstage akiteta jambo na Madj ndipo gafla kipaza sauti kikazimwa na kiba kushushwa chini.
baada ya kushuka kiba alihoji uwepo wa salama backstage na yeye hile show ilimuhusu nini mkp awepo pale,alikiba amesikika akilalamika akisema kuwa japo hana ugomvi na Diamond lkn kwa Kitendo kama kile Kinaleta Picha Gani au ndiyo kushushana na kudhalilishana,hii inafatia labda kulipiza kisasi baada ya kiba kuvamia show ya Diamond mombasa Siku chache zilizopita.hii sasa aibu kama watoto wa nyumba moja wanaenda gombana kwa jiraniiiii.

![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi0QfkwbWiH-8Kc41fkDOqmkbyRGcHRtZIh3T0X82y8FXXZdwf__TUMt3IArWEPvfJrWcOeMURneLEq3KVmDL3QoX4doVaPiSchK22sf09mtL2sQDPSj2VlW-_QF5JQkLlMPhz-kaSawiyy/s1600/KIBA.jpg)