manyaki-1.jpg ...      ...

BAADA YA KUKATA RUFAA KESI GODBLESS LEMA KUSIKILIZWA TENA NOV 28 2016

Kesi inayomkabili mbunge Wa Arusha bwana godbles Lema itaanza tena kusikilizwa mwezi kuu jumatatu ya 28 Nov 2016 baada ya mawakili wake kikata rufaa.
Bwana Lema ameshikiliwa mwanzoni mwa mwezi huu KWA kosa LA maneno ya uchochezi didhi ya rais magufuli.
Kesi iliyopita Lema alinyimwa dhamana KWA kukosa vigezo.

Previous
Next Post »