manyaki-1.jpg ...      ...

CHRISTIAN BELLA ASEMA ‘NIJUE’ ILIVUJA, HAIKUWA RASMI KUTOKA

King of the Best Melodies pia ni Mfalme wa masauti, Christian Bella, aweka wazi ukweli kuhusu Nijue ngoma anayo sikika yeye pamoja na Weusi.
Huenda umeshakutana na ngoma inayotajwa ni collabo kati ya christian bella na weusi inaitwa ‘Nijue’.Sasa cha kushangaza hakuna nguvu yoyote ya kupromote inayo onekana kutoka kwa upande wowote kati ya zilizoshiriki kuitengeneza.
Bella ameiambia Planet bongo ya EA Radio kuwa ngoma ile haikuw

a rasmi na ilikuwa bado hawaja panga kuitoa ila akaja kukutana nayo mitandaoni.
Hata hivyo bella amesema anazo collabo nyingi na wasanii kibao wakiwemo member wote wa weusi na ngoma nyingine amefanya na Darasa.
Previous
Next Post »