manyaki-1.jpg ...      ...

FAHAMU IDADI YA BACTERIA UNAOWAZALISHA KWA MASAA 24

Ripoti nyingi za utafiti zimeleta matokeo ambayo kwa wakati mwingine yanaweza kukushangaza au kukuchekesha, nyingine ni hii ya Vijidudu ambavyo utavifuga pale usipopiga Mswaki vizuri. Nimempata Daktari ambaye ameeleza madhara ya kutopiga mswaki kwa zaidi ya saa 24.
“Ukisoma takwimu za oral ecology na registerd dental hygiene utaona kabisa mdomo ni sehemu yenye bakteria wengi sana kwahiyo hata hao bilioni moja ni wachache sana kwasababu kwa mtu ambaye hasafishi kinywa chake vizuri anaweza kuwa na bakteria zaidi ya bilioni 20” –Daktari wa Meno
Bonyeza play hapa kupata maelezo yote ya Daktari wa Meno.
Previous
Next Post »