manyaki-1.jpg ...      ...

HISTORIA FUPI YA FIDEL CASTRO RAIS WA CUBA.

  • 1926: Azaliwa mkoa wa kaskazini mashariki wa Oriente nchiniCuba
  • 1953: Afungwa jela baada ya kuongoza maasi ambayo hayakufanikiwa dhidi ya utawala wa Batista
  • 1955: Aachiliwa huru kutoka jela chini ya mkataba wa msamaha
  • 1956: Akiwa na Che Guevara, aanza vita vya kuvizia dhidi ya serikali
  • 1959: Amshinda Batista, na kuapishwa waziri mkuu wa Cuba
  • 1961: Awashinda wapiganaji waliofadhiliwa na CIA waliovamia Bay of Pigs
  • 1962: Atifua mzozo wa makombora wa Cuba kwa kukubali USSR iweke makombora Cuba
    • 1976: Achaguliwa rais na bunge la Cuba
    • 1992: Aafikiana na Marekani kuhusu wakimbizi wa Cuba
    • 2008: Ang'atuka madarakani kwa sababu za kiafya
Previous
Next Post »