manyaki-1.jpg ...      ...

Maandalizi ya sherehe ya 53 ya mapinduzi matukufu ya zanzibar yaanza rasmi.


SEHEMU YA WAJUMBE WA KIKAO HICHO WALIOKUTANA FORODHANI WAKIONGOZWA NA MAKAMU WA RAIS.
Kikao kilichokaa kuandaa sherehe za mapinduzi matukufu ya zanzibar kimesema miradi 59 toka katika mikoa ya zanzibar na taasisi mbalimbali itashiriki katika sherehe hizo.sherehe za mapinduzi matukufu ya zanzibar yanatarajiwa kuanza mapema january 2017.
baadhi ya miradi hiyo imeanza kujadiliwa forodhani katika jumba la kasri mwenyekiti wa kikao hicho ambaye pia ni makamu wa pili wa rais wa serikali ya mapinduzi ya zanzibar balozi sefue idd amethibthisha kutokea hayo.
sherehe hizo inasemekana kuwa hazitakuwa tofauti sana na zilizopita na makamu wa rais kagiza taasisi zote zitakazoshiriki zijipange mapenda katika bajeti na kuzihakiki ziara zao mapema.
kikao hicho na kamati yake ya mapambo inategemewa kukutana tena mapema december 5 mwaka huu kujadiliana yanayoendelea,pamoja na kupokea miradi mipya kama itakuwepo.
Previous
Next Post »