manyaki-1.jpg ...      ...

PAPA FRANCIS AFANYA UTEUZI WA MAKADINALI 17 KWA LENGO LA KUMRITHI.

Kiongozi mkuu wa kanisa katoliki roman catholic RC Papa Francis amewateua makadinali wapya wa kanisa katoliki kote duniani, wengi ambao wanashiriki katika kumchagua mrithi wake.

Makadinali hao wapya wanatoka mabara matano akiwemo mjumbe wa Vatican nchini Syria.Jamhuri ya Afrika ya Kati , Bangladesh, Papua New Guinea na Mauriotius miongoni mwa nchi zingine.
Ni makadinali walio chini ya miaka 80 tu ambao wanaweza kumchagua Papa mpya. 13 kati ya wale walioteuliwa wako chini ya miaka 80 na sasa wanasifa za kumrithi.
Ni mara ya tatu sasa katika kipindi cha miaka mitatu ambapo Papa Francis, ambaye ni Papa wa kwanza kutoka Amerika ya Kusini kuwateua makadinali wapya tangu kuchaguliwa kwake.

Previous
Next Post »