manyaki-1.jpg ...      ...

KISA CHA MBUNGE GODBLESS LEMA KUNYIMWA DHAMANA NA KUENDELEA KUSOTA RUMANDE CHABAINIKA

MBUNGE WA ARUSHA MJINI  GODBLESS LEMA AMEENDELEA KUWEKWA KUZUIZI BAADA YA MAHAKAMA YA KANDA MAALUMU YA ARUSHA KUDAI KUWA MAWAKILI WA MBUNGE HUYO WANGEOMBA KUKATA RUFAA KWA SIKU 10 KABLA YA TAREHE YA KUTAJWA KWA KESI.
HII SASA NI MARA YA TANO MBUNGE HUYO KUNYIMWA RUFAA TANGU AKAMATWE NOV 5 MWAKA HUU DODOMA
KWA MANENO YA UCHOCHEZI DIDHI YA RAIS MAGUFULI.
Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imemnyima dhamana Mbunge wa Arusha Mjini (CHADEMA) Godbless Lema. Mahakama hiyo imeeleza kuwa mawakili wamtuhumiwa huyo walipaswa kuonesha kusudio la kukata rufaa ndani ya siku10 kabla ya kukata rufaa.

Hii ni mara ya tano mbunge huyo anakosa dhamana mahakamani tangu alipokamatwa Novemba 3 mwaka huu akiwa mjini Dodoma na kusafirishwa hadi Arusha katika kesi ya uchochezi inayomkabili.

Katika kesi ya msingi lema anatuhumiwa kutoa maneno ya kichochezi dhidi ya Rais Magufuli kwa madai kuwa Mungu ndiye aliyemwambia maneno hayo wakati akiwa anaomba.
- See more at: http://www.masamablog.com/2016/12/mbunge-godbless-lema-anyimwa-dhamana.html#sthash.WFVGX1F7.dpuf
Previous
Next Post »