WATU 19 WAMEFARIKI KWA AJALI, MBEYA.
Watu 19 wamefariki dunia leo na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya basi
dogo walilokuwa wakisafiria kutumbukia mtoni huko Tukuyu,Mbeya. Chanzo bado hakijafahamika ila tutakujuza zaidi tupatapo habari zaidi.
TUMA HABARI KWA NJIA YA WHATSAAP IWE YA LEO NA MATANGAZO YOTE KWA BEI RAHISI KUPITIA 0742418010