manyaki-1.jpg ...      ...

TOKA KAHAMA SHINYANGA TANZANIA

TANZANIA IMEENDELEA KUWA NCHI YA MAJONZI.
tanzania imeendelea kuwa nchi ya majonzi baada ya wanachi kuendelea kupoteza ndugu zao katika matukio tofauti tofauti.
HABARI‬ WATU 20 WAMEFARIKI KWA KUFUNIKWA NA KIFUSI, KAHAMA
Wachimbaji madini wadogo 20 waliokuwa wakichimba katika machimbo ya dhahabu ya Kalole wilayani Kahama mkoa wa Shinyanga, wamefariki dunia baada ya kufunikwa na kifusi usiku wa kuamkia leo.
Mungu azilaze roho za marehemu mahali peponi
Previous
Next Post »