Wachezaji wa yanga wakishangilia gori
Bounedjah Baghdad akiangalia namna ya kuwatoka wachezaji wa Yanga, Mbuyu Twite na Amissi Tambwe wakati wa mchezo wa Kimataifa wa Kombe la Shirikisho unaoendelea kupigwa hivi sasa kwenye uwanja wa Taifa, jijini Dar es salaam. Kipindi cha pili kimeanza hivi punde na matokeo ni 1-1.
Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa akiruka daluga la Beki wa Timu ya Etoile Du Sahel ya Tunisia wakati wa mchezo wa Kimataifa wa Kombe la Shirikisho unaoendelea kupigwa hivi sasa kwenye uwanja wa Taifa, jijini Dar es salaam.
Kiungo wa Timu ya Etoile Du Sahel ya Tunisia, Franck Kom aruka juu kuwania mpira wa kichwa wakati wa mchezo wa Kimataifa wa Kombe la Shirikisho unaoendelea kupigwa hivi sasa kwenye uwanja wa Taifa, jijini Dar es salaam. Kipindi cha pili kimeanza hivi punde na matokeo ni 1-1.
Picha zaid zitawajia baadae kidogo.