Akiwa katikati ya ibada mchungaji mwenyye matukio mengi mwaka huu Gwajima
alifafanua urafiki wake na Mh Lowasa na Dr slaa na kusema hawezi kuacha
urafiki wake na kukaa mbali na watu wanaokaribia uraisi kwa sababu yeye
si mjinga wala hajarogwa.Sikiliza Audio hapo chini akieleza vizuri
kuhusu urafiki wake na Lowasa pamoja na Dr.Slaa