Serikali ya nchini kenya jana imesaini mikataba na mashirika ya kigeni yanayo unga mkono mambo ya kisagaji na ushoga ikiwa kama harakati zaa kutafuta haki za binadamu nchini humo.
ikumbukwe kuwa kenya kupitia kwa makamu wake wa urais mh Rutto miaka kadhaa iliyopita alipinga vikali vitendo hivyo kipindi rais wa marekani na mzaliwa wa nchi hiyo alipofanya zaira katika nchi za africa miaka ya hivi karibuni.
pia nchi ya kenya inaingia mkataba huo huku rais wa marekani akitarajiwa kuzuru nchin humo mapema mwaka huu.
\http://frankmanyaki.blogspot.com/