manyaki-1.jpg ...      ...

EDWARD NGOYAI LOWASA ANATAJARIA KUWAKATA KIU WAFUASI WAKE JUU YA URAIS.

LOWASA AMBAE AMEWAHI KUSHIKA NAFASI MBALIMBALI KATIKA SERIKALI ZA AWAMU TATU KATIKA SERIKALI YA TANZANIA,PIA KATIKA SERIKALI YA KIKWETE AKIWA KAMA WAZIRI WA KWANZA .AMABE ALIDUMU KWA MDA MFUPI NA BADAE KUJIUZULU KUTOKANA NA KASHFA YA RICHMOND IKIWA KAMA HATUA YA KUJIWAJIBISHA YEYE NA MAWAZIRI WAKE AKINA  KALAMAGI.
NI MDA UMEPITA AKIWA ANAFATWA NA WANANCHI NA MAKUNDII MBALIMBALI AKIOMBWA AGOMBEE NAFASI YA URAIS BAADA YA KIKWETE KUTOKANA NA UWAJIBIKAJI WAKE NA IMANI YAKE KWA WANANCHI.
LAKNI AMEKUWA MGUMU KUSEMA LOLOTE.
LKN SASA AMEAMUA MWISHONI MWA WIKI HII KUWEKA WAZI AZMA YAKE JUU YA JAMBO HILO MSIKIE HAPA.
"Kwa kipindi kirefu sasa nimekuwa nikiombwa na makundi mbalimbali ya vijana, wazee, viongozi wa dini, chama, serikali na hata wananchi wa kawaida kunitaka nitangaze nia ya kuomba ridhaa kwa chama changu, CCM, ili niweze kuteuliwa kukiwakilisha chama kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na kwa kipindi chote nimekuwa nikitafakari pamoja na kumuomba Mungu aniongoze kufanya maamuzi sahihi. Mwishoni mwa wiki hii ninatarajia kutoa kauli yangu juu ya jambo hili na nawaomba tuendelee kumuomba Mungu azidi kutupa nguvu na busara ili tuyatende na kufanya yale yampendezayo"
UNAIS ATASEMA YES AU HAPANA.

Previous
Next Post »