manyaki-1.jpg ...      ...

PIERE NKUNZIZA AIBEZA SERIKALI YA MAREKANI

Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza, amepuuzia wito uliotolewa na nchi ya Marekani pamoja na umoja wa Ulaya juu ya wito uliotolewa kuhusu uchaguzi uahirishwe.
Rais Nkurunziza amesemea kwamba kuahirishwa kwa uchaguzi kutaliingiza taifa hilo katika mgogoro mkubwa zaidi.
Amesema kuwa uchaguzi ungesitishwa endapo watu wote wangezungumza lugha hiyo ya kusitishwa kwa uchaguzi ,na hiyo itakuwa na maana kwamba kutakuwa na serikali ya mpito.
Nkurunzinza ameongeza kuwa hawezi kukubaliana na wito huo hata kidogo kwasababu kwa kufanya hivyo ni kukaribisha vurugu kubwa zaidi na matatizo makubwa zaidi mbeleni hasa ikiundwa serikali ya mpito.
 RAIS WA BURUNDI PIERRE NKURUNZISA
Previous
Next Post »