manyaki-1.jpg ...      ...

MGOMO WA VYOMBO VYA USAFIRI TENA LEO

Vyombo vya usafili katika miji mbalimbali leo vimegoma kusafilisha abilia ikiwa ni kutimiza lengo lao lililotolewa na chama cha vyombo hivyo ambavyo Umoja wa Madereva nchini ulitangaza Tanzania leo kuanza mgomo wa nchi nzima kwa vyombo vyote vya moto vya usafirishaji kutokana na ukimya dhidi ya madai yao kwa serikali kwa walivyokubaliana katika kikao cha tarehe 10.4 mwaka huu.

Kwa mujibu wa Katibu wa umoja wa Madereva na Chama cha Maroli, Bw, Rashid Salehe amesema mgomo huo upo palepale kwa madai kuwa bado kuna mambo ambayo yameendelea kuwa kikwazo kwao.
Previous
Next Post »