Msanii abdul nassen "chibu dangote"amezidi kuchana mbuga na kusaka mafanikio yake yua kumiziki baada ya kuongeza ten list ya wasanii toka nigeria alioshirikana nao katika nyimbo zake.
ikumbukwe kuwa Diamond alifunguliwa milango ya baraka na msanii Davido katika ngoma ya My number1 remix then ikafata shake bobom aliyofanya na Iyanya ingawa aikuvuma na kumpa mafanikio kivile lakini pia akapata tena nafasi ya kushirikishwa na wanadada Waje katika ngoma yake pia katika collabo la Africa Raising pia awamu hii ameamua kuachia ngima yake na mr flavour inayoitwa nana itakayotoka mapema leo 29 may 2015.
katika account yake ya instagram amepost hichi mkuu huyo kuakikisha BET mwakani anakuwepo ndani.
kazi imefanywa na godfather kwa klushirikiana na wcb crew.
kila chema kiwe upande wako the bongo fleva pop boss."DIAMOND PLATINUMZ"