manyaki-1.jpg ...      ...

SIJAWAHI KUMDATE WEMA SEPETU-OMMY DIMPOZ

Maswali haya yameibuka baada ya picha za kipindi cha nyuma ambazo zilimuonyesha ommy dimpoz na wema wakiwa chumbani kimahaba zaidi.ndipo ommy alipoamua kuzitolea ufafanuzi picha hizo katika kipindi cha playlist na Dj Ommy.kuwa zile picha alizipiga katika project ya kushoot video ya wanjera na sio mtu wake.
Ommy dimpoz alifafanua kuwa"“No, watu walisahau kama Wema ni actress na ana uhuru wa kufanya chochote. Na katika ufanyaji wa kazi kama ile ni lazima kuwe na majaribio kama yale, haikuwa kitu cha serious. Ila ni mshkaji wangu, nampenda kwasababu siku zote amekuwa akinisapoti na mimi pia nasapoti kazi zake lakini hatuna mahusiano ya kimapenzi.” 

kama hukuwahi kuziona picha hizo nimekuwekea baadhi hapo chini.


pia unaweza kutazama interview ya ommy juu ya kashfa yake ya kutoka na wema sepengaa.

Previous
Next Post »