http://frankmanyaki.blogspot.com/
Waziri wa africa mashariki Dk harson mwakiembe (pichani) ameshangaa sana ndugu edward
lowassa kusema iliyokua kamati ya richmond ilimwonea na ililenga nafasi yake ya uwaziri mkuu pia kamati hiyo ilikuWa ni yangu na samwel sitta jamani. Lowassa aache kuchekesha watanzanua kama anaona hakutendewa haki nasubiri jumamosi arusha aseme kama alivyosema jana na mimi nitasema ukweli na yale yoote ambayo sikuyasema kulinda heshima yake na familia yake ukweli nitauweka mezani watanzania ndio watajua mh lowassa hafai kwa kile anachokisema namsubiri wapendwa tutasikia mengi sana mwaka huu"