manyaki-1.jpg ...      ...

WAZIRI WA FEDHA ZANZIBAR ASOMA BAJETI YA FEDHA YA MWAKA KWA MWAKA 2015/16 LEO

Waziri wa Fedha wa Zanzibar Omar Yussuf Mzee akionesha Mkoba wa Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa Mwaka wa Fedha 2015/2016 leo katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar. Waziri wa Fedha wa Zanzibar Omar Yussuf Mzee akisoma Hutuba ya Mapato na Matumizi ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa Mwaka wa Fedha 2015/2016 leo katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar. Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakifuatilia Hotuba ya Waziri wa Fedha wa Zanzibar Omar Yussuf Mzee aliyokuwa akiisoma 
Previous
Next Post »