Baada ya jina la katibu Mkuu wa Chadema Dk Wibroad Slaa likiwa limeteuliwa na UKAWA kuwa mgombea wake wa nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba.
Dakika chache zilizopita kwenye ukurasa wa @twitter wa Dr Slaa kathibitisha kuteuliwa na UKAWA.
“Nashukuru UKAWA kwa imani kubwa. Kazi
ya mabadiliko iliyoanza 1992 kwa vyama vingi imebakiza miezi michache
kushinda. Kura yako ni ukombozi“ – @willibrordslaaNashukuru UKAWA kwa imani kubwa. Kazi ya mabadiliko iliyoanza 1992 kwa vyama vingi imebakiza miezi michache kushinda. Kura yako ni ukombozi.
Nashukuru UKAWA kwa imani kubwa. Kazi ya mabadiliko iliyoanza 1992 kwa
vyama vingi imebakiza miezi michache kushinda. Kura yako ni ukombozi.
— Dr Willibrord Slaa (@willibrordslaa) July 11, 2015