Wabunge
wa Ugriki wamepiga kura kuunga mkono masharti mapya yaliyowekwa na
wadeni wa taifa hilo lililo katika hatari ya kufilisika.
Hatua
hiyo inatoa nafasi kuanzishwa kwa mashauriano mapya kati ya taifa hilo
na mataifa yanayotoa msaada wa kuokoa uchumi kuanza.Waziri Mkuu, Alexis Tsipras, alishinda kura hiyo ya Bunge baada ya kura ya kuunga mkono kupigwa na vyama vingine vya upinzani..http://frankmanyaki.blogspot.com/