http://frankmanyaki.blogspot.com/?zx=b7ab30a0e71f5f92Usiku wa kuamkia leo kulukuwa na utoaji
watuzo za MTV ambapo Diamond Platnumz..Katika mitandao watu mbalimbali
wamepost wakimpa hongera Diamond kwa ushindi huo.Picha hii hapa chini
imezua maswali mwengi kwa mashabiki wa Diamond Platnumz.
Picha hii iliwekwa na Babu Tale katika Mtandao wa Instagram na aliandika “Unaweza kudanganya watu kwa mda mfupi..lakini huwezi kudanganya watu wote kwa mda wote..ahsante MTV kwa kutambua kipaji na juhudi zetu“.
Nini Maoni yao kuhusu picha hii, Je ni sawa kwa Diamond Platnumz kuonyesha kidole hicho kwa utamaduni wa kitanzania? au sio sawa…