manyaki-1.jpg ...      ...

MAHAKAMA KUU KANDA YA MWANZA YAMPA USHINDI ESTHER BULAYA KUWA MBUNGE WA BUNDA MJINI.

 mahakama kuu kanda ya Mwanza imempa tena kwa mara nyingine mbunge esther bulaya kuwa mbunge halali wa mji wa bunda mjini.
kesi hiyo ilifunguliwa na walalamikaji wanne wakiongozwa na steven wasira.
jaji aliyokuwa anasikiliza kesi hiyo amesema esther bulaya ameshinda katika hoja zote.
pia esther bulaya amemuhakikishia mpinzani wake steven wasira kumpelekea maendeleo mpaka nyumbani kwake.
kesi hiyo imemalizika leo mjini msoma mjini.
chini ya wasili wa esther bulaya PAUL KIPEJA na Tindu Lissu.


Previous
Next Post »