manyaki-1.jpg ...      ...

MWANAUME MWENYE VIRUSI VYA UKIMWI ATEMBEA NA MWANAWAKE 104


Eric Aniva toka nchini malawi alikamatwa mwezi wa sita mwaka huu kwa kufanya mapenzi na wasichana chini ya miaka 12  na wanawake wapatao 104 bila kinga ingali anajua yeye ni muathirika wa ukimwi.
Eric Aniva akijitetea kuwa wasichana hao yeye aliwaambukiza akiwa katika shuguli za kukamilisha mila na desturi za kabila lao na bila kujua anawapa maradhi mabinti hao.
licha ya yeye kuwa kizuizini nchini malawi lakini hakuna hata binti mmoja aliyejitokeza kuwa na yeye alitembea na Eric Aniva na kupata virusi vya ukimwi.

Previous
Next Post »