manyaki-1.jpg ...      ...

KAA TAYARI KWA VIDEO MPYA YA BUSTA RHYMERS.

Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu bila kutoa ngoma, Swizz Beatz ameamua kumleta upya busta rhymes kwenye industry ya muziki wa HipHop.
Kupitia kurasa ya Swizz Beatz ya Instagram aliposti video ambazo zinaonyesha mdundo mpya wa ngoma ya Busta ambao unatarajiwa kutoka kesho Ijumaa.
Previous
Next Post »