manyaki-1.jpg ...      ...

HATMA YA MACHINGA WA JIJI LA MWANZA KUJULIKANA KESHO,DEC 2 2016

Mara kadhaa katika mikoa tofautitofauti ya nchini Tanzania kumekuwepo na harakati za kuwaondoa machinga katikati ya mji KWA lengo LA kuboresha miundo mbinu.
Kauli hii KWA jiji LA Mwanza limekuwa tofauti Kwa kudai wameuzwa na rais Wa sasa john pombe magufuli alipofanya ziara ya kuwashukuru wakazi Wa Mwanza,akihutubia katika viwanja vya furahisha rais alisema machinga wabaki katika maeneo yao.
Kinyume na kauli ya rais mwishoni mwa wiki Jana halmashauri ya jiji LA Mwanza limetoa agiza kwa machinga wrote kuondoka sehemu zote,na waelekee katika sehemu walipoelekezwa yani BUHONGWA NA KILOLENI MWANZA,wafanyabiashara wengi wamekuwa wakilalamika na kudai kuwa sehemu serikali walipoelekeza sio rafiki kwa biashara zao.
Ikumbukwe kuwa Mara kadhaa machafuko yametokea jijini Mwanza kutokana na kuamishwa kwa machinga.
Unaweza kujiuliza pilika za makoroboi,mnara Wa nyerere,MOHAMED,ferry,mwaloni na sehemu zingine nyingi na Tanganyika ambapo kulikusanya lundo LA vijana wakifanya biashara tofautitofauti,lkn kuanzia kesho mji huu utaonekana katika taswira mpya kabisa.




Hizi no moja ya picha zinazoonyesha FFC wakipambana na wafanyabiashara wadogowadogo wamachinga siku kadhaa zilizopita,lkn hii ya KESHO yawezekana ikawa kubwa kuliko zote na kuleta madhara makubwa sana kwa Wa machinga hao.kama wanavyosema wadau mbalimbali Wa jiji LA Mwanza.


Previous
Next Post »