Usiku wa kuamkia 2 may 2015 ama unaweza ukasema ijumaa ni siku ambayo
mji wa dar ulizizima kwa frahaa katika pande za mlimani city kuliko
kuwako sherehe ya msanii zarri na diamond sherehe hii iliunganisha watu
mbalimbali toka kenya,uganda na tanzania huku watu waliokuwa nje ya nchi
na umbali wa tukio wakipewa nafasi ya kuangalia tukio hilo kwa kulipia
katika mtandao na kuona moja kwa moja online show.
tiketi zote zilikwisha pamoja na nguo nyeupe katika maduka makubwa ya dar.
mbali na mashabiki wasanii mbalimbali walipata nafasi ya kupita katika red-caperty na viongozi wa serikali akiwemo mkuu wa wilaya ya kinondoni
chini ni picha za tukio zima lilivyokuwa.