manyaki-1.jpg ...      ...

ALI-KIBA AVAMIWA NA KUIBIWA MALI ZAKE KWAKE


Msanii alikiba amevamiwa na kuporwa mali zake nyumbani kwake,vijana hao toka chanzo cha habari kinasema walikuwa takribani 20 wakiwa na silaha za moto na visu na mapanga.
mlinzi wa nyumba hiyo aliteswa kwa lengo la kumpata na ataje msanii huyo alipojificha lkn zoezi hilo halikuzaa matunda baada ya polisi kufika na majambazi kutimka.
hakuna aliyekamatwa kutokana na tukio hilo.
Previous
Next Post »