Marekani
imethibitisha kuwa itaendeleza mazungumzo na Uturuki kuhusu kutoa
majeshi yake yanayo pambana na kikosi cha kigaidi cha Islamic State huko
magharibi mwa Syria.
Msemaji wa idara hiyo,John Kirby amesema
''jitihada,nguvu na umoja unapaswa kuwepo kwa kuangazia maeneo ya
mipakani''. Amesema anapinga pendekezo la kuagiza kikosi cha Marekani
kilisababishwa mapigano hayo ya anga nchini Uturuki kwa kutumia kikundi
cha jeshi cha Kurdish kilichopo eneo la kaskazini mwa Iraq . Askari wa
Kurdish PKK wanamesema kuwa shambulio la Uturuki liko juu ya Uturuki
ambayo inasimamia mapambano yake dhidi ya PKK . Majeshi ya Kurdish bado
yanapambana na wanamgambo wa kikundi cha kigaidi cha kiislamu'Islamic
State huku wakiilaumu Syria kwa kuchukua fursa zao. Msemaji huyo
amepinga pendekezo la kuagiza kikosi cha Marekani kilisababishwa
mapigano hayo ya anga nchini Uturuki kwa kutumia kikundi cha jeshi cha
Kurdish kilichopo eneo la kaskazini mwa Iraq . Askari wa Kurdish PKK
wanamesema kuwa shambulio la Uturuki liko juu ya Uturuki ambayo
inasimamia mapambano yake dhidi ya PKK . Majeshi ya Kurdish bado
yanapambana na wanamgambo wa kikundi cha kigaidi cha kiislamu'Islamic
State huku wakiilaumu Syria kwa kuchukua fursa zao.http://frankmanyaki.blogspot.com/