Rais
wa Urusi Vladimir Putin amesema kiongozi wa FIFA,Sepp Blatter ana haki
ya kutunukiwa medali ya uongozi bora wa kuliongoza shirikisho la
kandanda duniani.
Maafisa kadhaa wa shirikisho hilo bado wapo
ndani ya uchunguzi unaofanywa na taifa la marekani kwa tuhuma za rushwa.
Rais Putin ambaye alikuwa kwenye jukwaa moja na Blatter siku ya
jumamosi ili kupata fursa ya kuwa mwenyeji wa kombe la dunia mwaka 2018
kufanyika nchini Urusi. Raisi huyo alitoa maoni hayo kwenye kituo cha
luninga cha uswizi.''siaamini kama Blatter mwenyewe aliusika na
ubadhilifu wa fedha kwa rushwa''. Blatter mwenyewe hakushukiwa
lakiniameamua kujiuzuru pale atakapopatikana raisi mwingine wa
shirikisho.http://frankmanyaki.blogspot.com/